TUMUSIFU BWANA

prop

Friday, 30 March 2018

Tetesi za usajili balani uraya march 30 ijuma 2018

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Ni siku nyingine blogger yako ya kalambonews tuna kusogezea tetesi za barani ulaya .USISAHAU KUTOA MAONI YAKO
Manchester City wanatarajia kuanzisha mazungumzo kuhusu mkataba mpya na winga Raheem Sterling, mwenye umri wa miaka 23, kabla ya kumalizika kwa msimu . Mchezaji huyo wa kikataifa wa England ana miaka miwili iliyosalia kwenye mkataba wake. (ESPN)
Tottenham wanamtaka mchezaji wa kiungo cha kati wa Lisbon Bruno Fernandes, mwenye umri wa miaka 23, lakini watatakiwa kulipa kitita cha Euro milioni 87 kusaini mkataba na mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno . (Abola - kwa Kireno)


Mlinzi wa Arsenal mJerumani Shkodran Mustafi anasema timu yake ilikuwa na kikao cha kuijadili matokeo mabaya ya timu yao baada ya kufungwa mfulurizo na Man City
Arsenal imefanya mazungumzo juu ya kuhamia kwa mlinzi wa Freiburg Caglar Soyuncu, mwenye umri wa miaka 21. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uturuki amethamanishwa kwa kiwango cha Euro milioni 30 na kilabu cha Bundesliga . (Mail)
Mlinzi wa Arsenal Mjerumani Shkodran Mustafi, mwenye umri wa miaka 25, anasema the Gunners walikuwa na kikao cha timu yao baada ya kushindwa mfululizo na Manchester City kwa lengo la kubadili matokeo yao mabaya . (London Evening Standard)
Chelsea wanakaribia kusaini mkataba na kijana wa Uholanzi Jayden Braaf, mwenye umri wa miaka 15, kutoka timu ya PSV Eindhoven. Manchester City, Manchester United, West Ham na Bayern Munich wote wameelezea nia yao ya kusaini mkataba na mshambuliaji huyo. (Mail)
Everton wanaongoza katika kinyang'anyiro cha kusaini mkataba na mchezaji wa kiungo cha kati wa Arsenal Jack Wilshere, mwenye umri wa miaka 26, ikiwa ataondoka kwenye kilabu hicho katika msimu huu wa majira ya joto . Mkataba wa mchezaji huyo wa kimataifa wa England unakwisha msimu huu wa majira ya joto. (Star)


Everton wana mzozo wa mkataba na meneja wa zamani wa timu hiyo Ronald Koeman (pichani) kuhusu malipo
Everton wana mzozo wa mkataba na meneja wa zamani wa timu hiyo Ronald Koeman, ambaye kwa sasa ni meneja wa timu ya Uholanzi Netherlands, baada ya kubainika kuwa kilabu hicho kinalipa 90% ya malipo aliyolipwa Muholanzi huyo. (Liverpool Echo)

Watford huenda wakamuuza kwa kiwango cha Euro milioni 40 mchezaji wa kiungo cha kati Abdoulaye Doucoure, mwenye umri wa miaka 25, katika msimu huu wa majira ya joto, huku Liverpool, Tottenham na Arsenal wote wanammezea mate mFaransa huyo. (Mirror)
Image caption
Mourinho amefanikiwa kumshawishi Winga wa Real Madrid Gareth Bale, mwenye umri wa miaka 28, kujiunga na Manchester United
Mchezaji wa kiungo cha kati wa Stoke Ibrahim Afellay, mwenye umri wa miaka 31, ameambiwa awe mbali na klabu hiyo na Paul Lambert, ambaye hapendezwi na tabia ya Mholanzi huyo na kiwango chake katika mazoezi. (Telegraph)
 
Winga wa Real Madrid Gareth Bale, mwenye umri wa miaka 28, ameshawishiwa na meneja wa Manchester United Jose Mourinho kujiunga na klabu hicho ya Ligi ya Premia mwisho wa msimu. (Marca)

Mourinho: Mwenye akili zake anaielewa hali ya Manchester United
Wakati huo huo, Bale ameambiwa na kocha wa Wales Ryan Giggs aendeshe kiti maalum ili kujiepusha na majeraha. (Times)
Haki miliki ya pichaREUTERS
Image caption
Meneja wa Italia Carlo Ancelotti amekataa kazi ya soka ya taifa lake na badala yake anajiandaa kwenda Primia Ligi
Striker Zlatan Ibrahimovic, mwenye umri wa miaka 36, aliondoka Manchester United baada ya kushindwa kuendelea katika ligi ya klabu bingwa Ulaya, kulingana na daktari aliyemfanyia upasuaji ya goti la mchezaji huyo wa Sweden. Amejiunga na LA Galaxy. (South China Morning Post)
Shujaa wa Panama anayepanga kuhangaisha England Kombe la Dunia
Manchester United wanaangalia uwezekano wa kusaini mkataba na mchezaji wa kiungo cha kati wa Tottenham Chukwunonso Madueke, mwenye umri wa miaka 16, baada ya kukataa kusaini mkataba mpya na kilabu hicho cha kaskazini mwa London. (Mail)
Meneja wa Italia Carlo Ancelotti amekataa kuchukua kazi ya

No comments:

Post a Comment