TUMUSIFU BWANA

prop

Thursday 15 March 2018

Sifa ya sumbawanga na uhalisia wake

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
 Watuwengi wakisikia sumbawanga wanajua tu niuchawi basis Leo jua kazi zinazo fanika sumbawanga nasio uchawi  1 .shugulikubwa sumbawanga nikilimo cha mahindi ,maharagwe na mpunga hasahasa bonde la ziwa rukwa     2 .shuguli nyingine nikama uvuvi sumbawanga nimoja ya mkoa unao pakana na maziwa Rukwa na ziwa Tanganyika kilibia vijana wengi wanaeneo kama kasanga,namanyere kilando ,majiyachai na bondeni Rukwa wanajishugurisha na uvuvi  3. Viwanda kama dew drop chamaji ya kunywa na viwanda vya usindikaji wa nyama pia cha unga vinapatikana sumbawanga 4.utali kupitia mbuga za wanyama ya katavi ,liemba beach ,mapolomoko ya mto kalambo ambayo nimapolomoko ya pili afrika 5 usafirishaji majini MV liemba bandari ya kasanga adi kigoma kwamaelezo zaidi ingia play store kalambonews usipitwena habari zetu pia simulizi yoyote


mahindi sumbawanga

 Ramani ikionesha sumbawanga ilipo
 Kiwanda cha maji dew drop sumbawanga
 Hoteli ya kitalii sumbawanga ( katavi national park)

 Katavi nation park
 Kiwanda cha unga sumbawanga
MV liemba kasanga kigoma tangu ukolo
mapolomoko ya MTO kalambo sumbawanga 

Kmunala sumbawanga 

1 comment: