TUMUSIFU BWANA

prop

Friday 23 March 2018

Cheki jamaa alivyo mtania mayanga baada ya kipigo cha 4_1 na Algeria

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars  usiku wa  March 22 ilicheza game ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Algeria  mjini Algers nchini Algeria na kupoteza kwa magoli 4-1, baada ya kipigo stori zilianza kuenea katika mitaani kuwa kocha amekina kikosi.

Katika mchezo huo wa Taifa Stars  waliyofungwa magoli 4-1, goli la pili la Algeria lilipatikana kwa Shomari Kapombe kujifunga, mchekeshaji Mwalubadu ameandaa kitu chake kwa kocha wa Taifa Stars Salum Mayanga  kuwa mbona alisahau kumwambia  Yondani amkabe Kapombe hadi anapiga free header na kuifunga Taifa Stars.

No comments:

Post a Comment