TUMUSIFU BWANA

prop

Showing posts with label Hot news. Show all posts
Showing posts with label Hot news. Show all posts

Saturday, 9 June 2018

June 09, 2018

Navy Kenzo - Fella (Official Audio)

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.

Friday, 8 June 2018

Tuesday, 5 June 2018

June 05, 2018

PATA ZAIDI YA MARA MBILI YA ULICHO WEKA JISAJILI SASA HAPA

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
JINSI YA KUJIUNGA NA 1XBET TANZANIA


1xBet ni kampuni ya mikeka ambayo ni bora na iliyokidhi vigezo vya kimataifa katika sekta hii ya mikeka. Kampuni wanakupatia huduma bora na kukupatia michezo mingi ambayo inakufanya uwe na uchaguzi mkubwa unapokuwa unaweka mikeka yako. Pia 1xBet wanakuwezesha kushinda pesa zaidi hata ya shilingi milioni mia moja katika tiketi moja utakayoweka na pia wanazo njia nyingi zaidi ya 50 za kuweka na kutoa pesa katika akaunti yako. 1xBet wanatoa huduma kwa haraka na zilizo bora. Wakubet baada ya kuifanyia utafiti na uchambuzi imeweza kuridhika na 1xBet na kukuambia wewe mdau wa mikeka kwamba hii ndio kampuni tulikuwa tunaisubiri na inayokufaa. Fuata maelekezo hapa chini uweze kujiunga na 1XBet na ufurahie mchezo huu.
HATUA YA 1
Ingia katika tovuti ya 1XBet kwa kubofya HAPA1XBet.com na kisha bofya sehemu iliyoandikwa registration

HATUA YA 2
Baada ya kuwa umebofya registration itakuletea njia mbalimbali za kufanya usajili ambazo ni:

One Click
By phone number (kwa namba ya simu)
By E-mail (kwa barua pepe)
Social network (mitandao ya kijamii)
Chagua njia unaoona kwa kwako ni rahisi. Na endapo utatumia njia ya simu (by phone number) hakikisha unatumia namba ya vodacom au airtel ambayo ndiyo utakuwa ukitumia kuweka na kutoa pesa. Na endapo utatumia njia hii taarifa na neno siri (password vitatumwa kwenye simu yako) kumbuka sehemu ya promo code kuweka namba hizi  1x_12702

Njia nzuri ambayo tunapendekeza uweze kutumia kujiunga ni njia ya e-mail ambapo baada ya kuwa umebofya sehemu ya e-mail itakuletea fomu ambayo utajaza taarifa zako na sehemu ya promo code andika namba 1x_17256  na namba hii inatumika kama promo code kwa usajili wowote utakaochagua.

Baada ya kuwa umejaza taarifa zako bofya sehemu iliondikwa register kisha utatumiwa link katika email yako uliyotumia kujisajili ambapo utatakiwa kuingia kwenye email yako na kuibofya hiyo link kuifanya akaunti yako iwe tayari kutumika na baada ya hapo tayari utakuwa umeweza kujiunga na 1xBet.
​
JINSI YA KUWEKA PESA KWENYE AKAUNTI YAKO YA 1XBET
Baada ya kuwa tayari umekwishajiunga na 1xBet ili kuweka pesa katika akaunti yako unatakiwa kubofya sehemu iliyoandikwa My account kisha utabofya sehemu iliyoandikwa Deposit.





Baada ya kuwa umebofya Deposit utabofya sehemu iliyoandikwa mobile payments kisha utaona njia tatu za kuweka pesa katika akaunti yako ambayo ni Airtel Money, Tigo Pesa na Vodacom M-Pesa

Baada ya hapo utachagua njia utakayotumia kati ya hizo mbili na utatumia namba ambayo umetumia kujisajili 1xBet. Kwa mfano endapo utachagua Airtel Money basi utaweka kiwango unachotaka kuweka katika akaunti yako kwa mfumo wa shilingi na senti (kwa mfano unataka kuweka shilingi elfu ishirini basi unapaswa kuweka20000.00) kisha utaweka namba yako ya Airtel ambayo umetumia kujisajili 1xBet kisha utabofya confirm.

Baada ya hapo utatumiwa ujumbe kwenye simu yako ukikuelekeza namna ya kuweka pesa katika akaunti yako. Maelekezo haya ni kwa njia ya Vodacom M-Pesa na Tigo Pesa pia. Ukiishaweka pesa yako muda huo huo utaiona katika akaunti yako na utaanza kuweka mikeka yako ukifurahia huduma za 1XBet.
​
Jinsi ya kutoa pesa zako katika akaunti ya yako baada ya kwenda kwenye My account utachagua Withdrawal  na utachagua mobile payments kisha utachagua kati ya Airtel Money, Tigo Pesa na Vodacom M-Pesa.
​
Mballi na njia hizo mbili unaweza ukatumia njia nyingine zozote kwa kadiri uwezavyo kama zilivyoainishwa katika tovuti ya 1xBet.
JINSI YA KUWEKA PESA KUPITIA AIRTEL MONEY, VODACOM M-PESA NA TIGO PESA KUPITIA DUSU PAY
Endapo kama umechagua kuweka pesa kwenye akaunti yako ya 1xBet kupitia mobile payment na ikakutelea sehemu ya kuweka pesa tu pasipo kuonyesha sehemu ya kuweka namba yako ya simu kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini basi utafuata hatua zifuatazo kukamilisha muamala wako.

Utaweka kiasi cha pesa unachotaka kuweka kisha utabofya confirm na itakuletea kama inavyoonekana hapa chini

Hapa utabofya sehemu iliyoandikwa select pa
June 05, 2018

Fundi aelezea changamoto utengenezwaji jeneza LA maria na consolata

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
 Fundi aelezea changamoto utengenezwaji Jeneza la Maria na Consolata



Leo June 5, 2018 tunayo story kutokea mkoani Iringa ambapo jeneza litakalotumika katika mazishi ya Mapacha maarufu walioungana Maria na Consolata ambapo wanatarajiwa kuzikwa kesho kwenye kaburi moja.

Zahara Omary ni Mkurugenzi wa Kiwanda cha Mandela, anaelezea utengenezaji wa jeneza litakalohifadhi miili ya Mapacha walioungana Maria na Consolata.

Source ;miladiayo
June 05, 2018

MZAZI MWENZIE NA SHILOLE AFARIKI DUNIA

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
 Mzazi mwenzie na Shilole afariki dunia


Mzazi mwenzie na Shilole, Elias Makala ambaye wamepata bahati ya kuzaa naye mtoto wake wa kwanza amefariki dunia ghafla huko Igunga mkoani Tabora.


Shilole na marehemu Elias

Shilole amethibitisha taarifa hizo kwa kusema kuwa mzazi mwenzie amefariki ghafla baada ya kutoka kwenye starehe usiku wa kuamkia leo ambapo amekiri kuwa alikuwa haugui.

Shilole amesema kuwa marehemu alikuwa mzima wa afya na mara ya mwisho kuwasiliana naye ilikuwa ni miezi miwili iliyopita.

Marehemu Elias na Shilole wamefanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike aitwaje  Joyce Godfrey (14) ambaye pia ndio mtoto wa kwanza wa Shilole .

Sunday, 3 June 2018

June 03, 2018

BODI YA MIKOPO YASITISHA MIKOPO KWA WANAFUNZI WA DIPLOMA

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
BODI YA MIKOPO YASITISHA MIKOPO KWA WANAFUNZI WA DIPLOMA
June 3, 2018


Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu,  Abdul-Razaq Badru.
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapenda kuutaarifu umma kuwa imesitisha mpango wa kutoa mikopo kwa wanafunzi wanaosoma stashahada (Diploma) kuanzia mwaka wa masomo 2018/2019 kama ilivyotangaza awali.

Itakumbukwa kuwa tarehe 10 Mei  mwaka huu, HESLB ilitoa mwongozo unaosimamia utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/2019. Mwongozo huo, pamoja na mambo mengine, unaeleza kuwa HESLB itaanza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa stashahada na kuwa mwongozo kuhusu utaratibu wa kuomba mikopo hiyo ya wanafunzi wa stashahada ungetolewa baadae.

Hatua hii imechukuliwa ili kuhakikisha kuwa kiasi chote cha TZS 427.5 bilioni  zilizotengwa kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi kwa mwaka 2018/2019  zinaelekezwa kwa wanafunzi wenye mikopo hivi sasa na waombaji wapya wahitaji ambao wana sifa za kujiunga na kozi za shahada tu ambao ndiyo walengwa wakuu.

Hivyo basi, tunatoa wito kwa wanafuzi wote wenye sifa za kujiunga na masomo ya shahada katika taasisi za elimu ya juu na ambao ni wahitaji wa mikopo kuhakikisha wanasoma kwa makini mwongozo wa utoaji mikopo na kuuzingatia.

Kwa takwimu za mwaka 2017/2018, takribani maombi 10,027 ya mikopo yaliyowasilishwa Bodi ya Mikopo yalikuwa na upungufu kama vile kutosainiwa, kutokuwa na viambatanisho sahihi n.k.

HESLB ilianzishwa kwa mujibu wa sheria mwaka 2004 na kuanza kazi rasmi mwezi Julai, 2005 ili kutoa mikopo kwa wanafunzi wahitaji na pia kukusanya mikopo iliyoiva kutoka kwa wanufaika.
Imetolewa na:
Abdul-Razaq Badru
Mkurugenzi Mtendaji
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
DAR ES SALAAM