TUMUSIFU BWANA

prop

Monday, 21 May 2018

WAZIRI MWAKYEMBE AKABIDHI GARI MBILI KWA WASHINDI WA SHIKA NDINGA

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Waziri Mwakyembe akabidhi gari mbili kwa washindi wa Shika Ndinga

Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe Jumapili hii alikuwa mgeni rasmi katika fainali za Shika Ndinga 2018 zilizofanyika katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe Dar es salaam ambapo pia aliwakabidhi washindi wawili gari aina Kirikuu. Washiriki wa shindano hilo walitoka katika mikoa sita ikiwemo Dar Es salaam, Pwani, Mwanza pamoja na Tanga. Washindi wa Shika Ndinga 2018 ni Jafar Kassim mkazi wa Lushoto Tanga pamoja na Kwandu Salum kutoka mkoani Mwanza.

No comments:

Post a Comment