TUMUSIFU BWANA

prop

Thursday 3 May 2018

Wachezaji wazuri ambao hawana kandarasi

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.


Image caption
Wachezaji ambao hawana kandarasi na timu zao wanaweza kuunda timu nzuri
Msimu wa kananda unaelekea ukingoni , swala linalomaanisha kitu kimoja: ,maajenti kunaza kufanya biashara mwish wa msimu huu.
Dirisha la uhamisho la ligi ya Uingereza halifunguliwa hadi 17 Mei lakini kuna wachezaji wengi waliokamilisha kandarsi zao ambao wako tayari kufunga virago na kuondoka.
Miongoni mwao ni kiungo wa kati wa Arsenal Jack Wilshere, ambaye amepewa mkataba mpya Arsenal, wachezaji wawili wa Bayern Arjen Robben na Franck Ribery  na kiungo wa kati wa Liverpool Emre Can.

Lakini je unawajua wachezaji wngi ambao walionyesha mchezo mzuri msimu huu kulingana na shirika la utafiti la soka CIES footbal Observerytory?
Kundi hilo la utafiti limetengeza orodha ya wachezaji 50 kulingana na majukumu sita ya wachezaji ikiwemo, kupokonya mpira, kusambaza, kutengeza na fasi za magoli, kushambulia. Kipa wanapimwa kulingana na mbao waliofungwa kwa dakika mbali na asilimia ya mabao waliookoa.T
Wachezaji 10 ambao wamekamilisha kanda
Je kipa wa Napoli Pepe Reina atarudi Liverpool alikotoka?
Shirika hilo la utafiti wa soka CIES linawapima wachezaji hao katika viwango vya hadi 100 kutoka wale waliocheza hadi chini ya dakika 10000 msimu huu. Orodha hiyo ya kumi bora inawapigia upatu mabeki kutoka Itali , iwapo kocha wa Liverpool anataka kuimarisha safu yake ya ulinzi.
1. Pepe Reina - ameorodheshwa wa 91. Kipa huyo mwnye umri wa miaka 35 aliyeichezea Liverpool ameisaidia Napoli kusalia katika ligi ya Serie A akiwa hajafungwa kwa takriban mechi 17 ikiwa ni zaidi ya kipa yoyote yule.
2. Vicente Guaita - ameorodheshwa wa 90. Kipa huyo wa Getafe, 31, imeripotiwa alitia kandarasi na Crystal Palace mapema msimu huu lakini sasa amepokea maombi kutoka Atletico Madrid. Raia huyo wa Uhispania ana rekodi nzuri ya kuokoa mashambulizi.
3. Nafasi ya tatu. Arjen Robben - ameorodheshwa wa 89. Winga huyo wa Bayern mwenye umri wa miaka 34 huenda amepunguza kasi yake lakini kwa kuwa ni mchezaji anayeweza kutamba na mpira anaweza kuwa na thamani nzuri. Tayari amepewa kandarasi ya mwaka mmoja kusalia na klabu hiyo.
3..Nafasi ya 3. Gianluigi Buffon - ameorodheshwa wa 89. kipa huyo mwenye umri wa miaka 40 ameonyesha ubora wake Juventus msimu huu. Anatarajiwa kustaafu mwisho wa msimu huu ijapokuwa amesema kuwa huenda akaendelea.
5. Andrea Barzagli - Ameorodheshwa wa 86. Ana sifa za kuimarisha safu ya ulinzi ya Juventus akishirikiana na Giorgio Chiellini, baada ya kushindwa mechi moja pekee kati ya 21 msimu huu. Kumuuza mchezaji huyo wa umri wa miaka 36 nje ya Juventus itakuwa vigumu.
6. Andrea Masiello - Ameorodheshwa wa 84. beki huyo wa klabu ya Atalanta 32, amekuwa katika ligi ya Serie A tangu kashfa ya kuuza mechi 2011 lakini ameonyesha thamani yake msimu huu huku klabu hiyo ikiwa na lengo la kufuzu katika michuano ya ligi ya Yuropa.
Haki miliki ya pichaREUTERS
Image caption
Emre Can alijiunga na Liverpool kutoka Bayer Leverkusen mwaka 2014
6. Emre Can - Ameorodheshwa wa 84. Amehusishwa pakubwa na uhamisho wa Juventus, iwapo mchezaji huyo wa kiungo cha kati atafanikiwa kuvutia mchezaji mmoja wa Turin kujiunga na Liverpool .Ana mabao matatu katika ligi ya premia na ametoa pasi 4 zilizosababisha magoli katika msimu wa 2017-18,.
8. Milan Badelj - Ameorodheshwa wa 83. mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 ametoa pasi nzuri katika kila mechi ikilinganishwa na mchezaji mwengine yeyote wa klabu ya Florentina msimu huu huku ikiripotiwa kwamba Tottenham ni miongoni mwa klabu zinazomnyatia raia huyo wa Croatia.
8. Kwadwo Asamoah - ameorodheshwa wa 83. Inter Milan wanapigiwa upatu kumsajili

No comments:

Post a Comment