TUMUSIFU BWANA

prop

Friday 4 May 2018

Ratiba ya mechi za Leo ligi kuu Tanzania jumamosi

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.






Home  sports  Ratiba Ligi Kuu Tanzania bara VPL 5 May 2018
SPORTSVPL SPECIAL
Ratiba Ligi Kuu Tanzania bara VPL 5 May 2018
 Kalambonews-  May 5, 2018 0

Ratiba Ligi Kuu Tanzania bara VPL 5 May 2018

Ligi Kuu Tanzania bara  Vodacom Premier League, VPL leo itaendelea kwa michezo Miwili kuchezwa.

Namfua Standium kutakuwa na Mchezo kati ya Singida United walima halizeti hawa watakaokuwa wenyeji wa Njombe Mji kutoka Njombe.

Nako Mkoani Mbeya  msomaji wa kalambinews.com Tanzania Prisons wajelajela watakuwa wenyeji wa Lipuli kutoka Mkoani Iringa, Moja ya Mechi zinazotarajiwa Kuwa Ngumu na Za Kuvutio kwa wapenzi wa soka.

TAGSRATIBA LIGI KUU TANZANIA BARA VPL 5 MAY 2018

No comments:

Post a Comment