TUMUSIFU BWANA

prop

Wednesday 9 May 2018

Kichuya hatuto poteza mchezo wowote

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Ujumbe wa Manara baada ya Kichuya kusema hawataki kupoteza mechi hata moja

Shiza Kichuya amefunguka kuwa wao kama wachezaji licha ya kuwa wanahitaji alama moja pekee ili wajihakikishie Ubingwa wa ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2017/2018 Kichuya amesema watahakikisha wanachukua points zote 9 katika mechi 3 zilizobaki.

Baada ya Ujumbe Huo wa Kichuya, Mkuu wa Kitengo cha Habari na mawasiliano klabu ya Simba Haji Manara amemsfia Kichuya kwa Kuandika haya.

” Huyo ndio kichuya..mluguru super anaejitambua na anajua nn Simba inataka na nn washabiki wanangoja…..ni fundi,mpiganaji na yupo commited 100..la pulga anakupa vtu vingi ndani na nje ya uwanja @kichuya_”

TAGSUJUMBE WA MANARA BAADA YA KICHUYA KUSEMA HAWATAKI KUPOTEZA MECHI HATA MOJA

No comments:

Post a Comment