TUMUSIFU BWANA

prop

Monday, 14 May 2018

Hawaapa wanao isumbua Rayon sport ya Rwanda kuelekea jumatano

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.

Nahodha Rayon Sports ataja watatu anaowahofia
By Kwata Unit -  May 15, 2018 0

Nahodha Rayon Sports ataja watatu anaowahofia Yanga

Kesho Jumatano May 16 2018 KUTAKUWA na mechi ya Kmataifa kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Yanga dhidi ya Rayon Sports  kutoka nchini Rwanda katika uwanja wa Taifa.

Kuelekea pambano hilo timu ya Rayon Sports tayari imetua Nchini kwaajili ya Pambano hilo.



Akizungumza baada ya kuwasili nchini Nahodha wa Rayon Sports Dayishimiye Eri Bakame alifunguka kuwa wamejipanga kuhakikisha wanapata matokeo ugenini.

Bakame msomaji wa Kwataunit alisema wameitazama Yanga kupitia CD na kuna wachezaji wameona kuwa ni lazima wawachunge ili wasiwadhuru.

Bakame amewataja Ibrahim Ajibu, Yusuph Mhilu ambaye amekuwa na kiwango bora siku za Karibuni na Obrey Chirwa.

No comments:

Post a Comment