TUMUSIFU BWANA

prop

Saturday 19 May 2018

CHINA YATOA MSAADA WA MABILIONI TANZANIA KUSAIDIA UJENZI WA RELI YA KATI NA CHUO CHA NIT

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
China yatoa msaada wa Mabilioni Tanzania kusaidia ujenzi wa reli ya kati na Chuo cha NIT



Serikali ya China imetoa Msaada wa Sh. Bilioni 146.47 za Kitanzania, madhumuni makubwa ya msaada huo yamelenga kukijenga upya chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kuwa Chuo Kikuu cha Usafirishaji Tanzania ambacho kipo Mabibo jijini Dar es salaam.



Akizungumza na Vyombo vya habari, Katibu Mkuu Wizara ya fedha na Mipango, Bw. Doto James amesema kuwa mara nyingi Serikali wamekuwa wakiiomba serikali ya China iwasaidie kujenga reli ya Kati kwa kiwango cha Standard Gauge, Pia imetoa msaada kusaidia ujenzi wa vipande vya reli vilivyobakia.

INSTALL KALAMBONEWS NOW

No comments:

Post a Comment