TUMUSIFU BWANA

prop

Thursday 15 March 2018

AJALI YA NDEGE YAUA WATU WANNE NA KUJERUHI 12

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.


Kutoka nchini Senegal stori ninayokusogezea ni hii ajali ya ndege ya kivita ambayo imeanguka na kuua watu nane na kujeruhi wengine 12.
Helkopta hiyo imepata ajali katika eneo la Missirah karibu na Mpaka wa Kaskazini mwa nchi ya Gambia. Inaelezwa kuwa watu 20 walikuwa wamepanda kwenye helkopta hiyo ambayo ilikuwa inatoka kwenye msiba na ilikuwa imebeba mwili wa marehemu.
Rais wa nchi hiyo Macky Sall kutokana na ajali hiyo ameagiza uchunguzi wa kina ufanyike ili kubaini chanzo halisi cha ajali hiyo, huku akitoa salamu za rambirambi kwa familia za wafiwa.

No comments:

Post a Comment