TUMUSIFU BWANA

prop

Wednesday, 16 May 2018

BAADA YA USHINDI ATRETICO MADRID MABINGWA WA EUROPA LIGI

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
ANTOINE GRIEZMANN ATUPIA MBILI ATLETICO IKICHUKUA UBINGWA WA EUROPA DHIDI YA MARSEILLE



Antoine Griezmann ameisaidia timu yake ya Atletico de Madrid kutwaa ubingwa wa Kombe la EUROPA League kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Marseille ya Ufaransa.

Griezmann ameweza kucheka na nyavu mara mbili huku moja likifungwa na Gabi kwenye dakika ya 89 ya mchezo.

Madrid waliingia hatua ya fainali baada ya kuiondoa Arsenal kwa jumla ya mabao 2-1
17
May
2018

No comments:

Post a Comment