Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Na George Mganga
Nyota wa Bongo Fleva nchini Ali Saleh Kiba 'Alikiba' amezindua rasmi bidhaa yake mpya ya kinywaji inayojulikana kwa jina la Alikiba Mofaya Energy Drink itakayoanza kusambaa mitaani hivi karibuni.
Kiba ameitambulisha bidhaa ya kinywaji hicho katika Ukumbi wa Serena Hotel wakati wa sherehe za harusi yake iliyofanyika juzi Jumapili.
Msanii huyo amekuwa mmiliki wa bidhaa hiyo itakayoanzaa kupatikana Afrika Mashariki na baadaye itasambazwa katika sehemu mbalimbali duniani.
Kiba ameeleza kuwa ameamua kuileta Mofaya Afrika Mashariki akishirikiana na Msanii mwenzake Bulive kutoka ukanda wa Afrika.
Bidhaa hii imekuwa ni moja kati ya zile alizotangaza kutambulisha huku zikitajwa zingine kuwa atazindua siku za usoni.
prop
Tuesday, 1 May 2018
ALIKIBA AINGIZA BIDHAA MPYA SOKONI LEO
Recommended Articles
- Hot news
Navy Kenzo - Fella (Official Audio)Jun 09, 2018
- Hot news
VIDEO | Machalii Wa Yesu - Yesu Anakupenda | Watch/DownloadJun 09, 2018
DOWNLOAD NOW
- Hot news
Download wimbo mpya wa MBOSSO _Nadekezwa Jun 08, 2018
DOWNLOAD NOW Huu apa uamzi wa TFF Kwa Yanga soma hapa
- Hot news
PATA ZAIDI YA MARA MBILI YA ULICHO WEKA JISAJILI SASA HAPA Jun 05, 2018
JINSI YA KUJIUNGA NA 1XBET TANZANIA 1xBet ni kampuni ya mikeka ambayo ni bora na iliyokidhi vigezo vya kimataifa katika sekta hii ya mikeka. Kampu...
Labels:
Hot news
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment