TUMUSIFU BWANA

prop

Friday, 6 April 2018

Plesha ya simba zidi ya mtibwa

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Kikosi cha timu ya Simba.
INGAWA machoni inaonekana kiroho kinamdunda, lakini Mfaransa wa Simba,Pierre Lechantre amewaambia mashabiki kwamba hana wasiwasi kabisa na mechi ya Mtibwa itakayopigwa Jumatatu mjini Morogoro.

Simba kwa sasa inaongoza ligi ikiwa na pointi 49, ambazo ni tatu zaidi ya Yanga inayoshika nafasi ya pili nyuma ya Azam inayoshika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 44 huku ikiwa mbele kwa mchezo mmoja.

No comments:

Post a Comment