TUMUSIFU BWANA

prop

Monday, 2 April 2018

Mikoa inayo ongoza Kwa utoro shule za musingi hi apa

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa leo April 02, 2018, amewasha Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2018, ambapo Kitaifa umewashiwa mkoa wa Geita, pamoja na uwashaji wa Mwenge Waziri Mkuu wakati akiongea na wananchi wa Geita ametaja Mikoa inayoongoza kwa utoro mashuleni kwa Sekondari na shule za Msingi na mkoa wa Geita unashika nafasi ya pili kwa utoro mashuleni wakati Rukwa ndo inayo ongoza Kwa utoro ikiwa inashika nafasi ya kwanza Kwa utoro shule za msingi na secondary wakati Tabora nayo ikishika nafasi ya tatu kwautoro

No comments:

Post a Comment