Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Kocha Lechantre huenda akaachana na Simba,Ishu kamili Hii hapa
HIngia kwenye droo ya tanzanite post
Kocha Mkuu wa Simba Pierre Lechantre huenda akaachana na Simba endapo tu Dili lake alilofanya litatiki.
Lechantre ni moja kati ya Majina 77 yaliyoomba kuwa warithi wa Hugo Broos ambaye alikuwa kocha wa Timu ya Taifa ya Cameron kabla ya Kufungashiwa Virago.
Kama ikitokea Lechantre amekubaliwa kufundisha Timu hiyo ya Taifa basi ni wazi huenda akaachana na Simba kwani ishu za Maslahi na CV yake huenda ikawa ni Kubwa zaidi kuifundisha Timu ya Taifa ya Cameron kuliko Simba.
prop
Thursday, 26 April 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment