Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Kambi ya Simba kuelekea mechi na Yanga April 29
Samatta kuelekea ligi ya uingereza soma hapa>>>>>
Imekuwa ni desturi kwa Yanga na Simba kuweka Kambi nje ya Dar Es Salaam kabla ya pambano linazozikutanisha timu hizi mbili kongwe na Pinzani zikutanapo
Simba mara baada ya jana kutoa sare na Lipuli Fc ya Mkoani Iringa kuna taarifa za ndani kuhusu ni wapi hasa wataweka kambi yao kuelekea pambano lao dhidi ya Yanga.
Kwa Mujibu wa meneja wa Simba Richard Robert alisema Jana kuwa huenda Timu hiyo ikarejea Morogoro kwaajili ya Kambi.
>>>>RATIBA KAMILI KOMBE LA SHILIKISHO HAPA SOMA ZAIDI<<<<<<<<
“Tunatarajia kurudi
tena Morogoro pale chuo
cha Bibilia kwa ajili
ya kambi, tunapenda
kambi ile kwa sababu
ni tulivu, ina ulinzi
mkubwa, mtu huwezi
kuingia hovyo, inafanya
wachezaji wawe na
utulivu,”
Lakini pia kuna taarifa kuwa huenda timu ikaendelea kubaki mkoani Iringa.
prop
Saturday, 21 April 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment