Msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo, Fid Q ameteuliwa na Chama cha Muziki wa Kizazi Kipya Tanzania (TUMA) kuwa mwenyekiti wa kamati ya fedha, mipango na uchumi.
Baada ya uteuzi huo Fid Q amesema; ‘Ni matumaini yangu tutaenda mkono kwa mkono kama majukumu na fursa,”.

No comments:
Post a Comment