Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Ikiwa imesalia siku moja pekee kabla ya mchezo wa watani wa jadi kupigwa hapo kesho kwenye dimba la Taifa Jijini Dar es Salaam, Afisa Habari wa klabu ya Yanga, Dismas Ten amemuandika ujumbe mfupi mshambuliaji wa timu hiyo, Mzimbabwe, Donald Ngoma ambaye amekosekana Uwanjani kwa muda mrefu.
Ten ameandika ujumbe huo kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram ukielezea hali halisi anayopitia mchezaji wao kwa hivi sasa.
”Ndiyo maana yakaitwa maisha kuna wakati ni lazima upitie changamoto ili kuyashinda,” ameandika Ten huku akimalizia kwa muombea kwa Mungu, Donald Ngoma.
prop
Saturday, 28 April 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment