TUMUSIFU BWANA

prop

Thursday, 19 April 2018

BONIFACE MKWASA SIMBA MABINGWA KWAHILI APA

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
MKWASA : Kungekuwa na Ligi ya Kuongea Simba Mabingwa miaka yote
1.Usipitwe na uhondo wa magazeti ya Leo tanzania>>>>>>
Katibu Mkuu wa Yanga Boniface Mkwasa amesema Wamejipanga Kuhakikisha wanaifunga Simba April 29 2018 na Kujiweka sawa kwenye Mazingira Ya Ubingwa.

Mkwasa amesema Simba wamekuwa wakiongea sana kiasi kwamba kama Kungekuwa na Ligi ya Kuongea Simba wangekuwa mabingwa miaka Yote.

Akizungumza na Kipindi cha Michezo za EFM leo  msomaji wa Kwataunit.com Mkwasa amefunguka Haya..

” Simba tushawazoea kama kungekuwa na ligi ya Kuongea basi wangekuwa mabingwa miaka yote, sisi tunaendeleza mpira licha ya Kuwa tumekuwa na majeruhi wengi ,Kelele za Simba zisiwafanye washabiki wa Yanga wakajisikia Wanyonge, Yanga siku zote iko imara na itaendelea kuwa Imara “

No comments:

Post a Comment