TUMUSIFU BWANA

prop

Thursday 15 March 2018

JIFUNZE LEO NJIA ZA MFANIKIO

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.

  • NJIA ZA MAFANIKIO YAKO LEO                       mafanikio sikukuzote yanakuja kwakujituma Kwa mtu mwenyewe      zifuatazo ninjia baadhi mtu anaweza kuzitumia Ku fanikiwa                        1_ uwakala wa mitandao kusajili laini za Mitandao. mbali mbali kama airtel,voda na tigo ambopo Kwa upande wa malipo airtel kila lain 50 unalipwa $ h 50000 hivyo ivyo na voda ininjia moja .wapo ya kufanikiwa mtu  kwakutumia smart phone unaweza kujiajili kwaupakua app za usajili ambapo ukijiunga utatumia mtaji mdogo kujiajili        2 _ujiunga TALA hii niapp ambayo utapata mkopo wako kilahisi utakao kuwezesha kukuza biashala zako ambapo utakopa dhaidi hadi $h 200000 kwaliba nafuu Kwa siku 21 adi 31 tu  KWAMAELEZO ZAIDI PAKUA APP YA KALAMBONEWS utapata habari na mbinu mbali mbali za mafanikio Yetu PIA USISAHAU KUTOA NAONI YAKO 

No comments:

Post a Comment