TUMUSIFU BWANA

prop

Tuesday 27 March 2018

Mbowe na wenzake kupelekwa mahakamani

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Mbowe na viongozi wenzake ambao ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Vincent Mashinji; Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika; Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu; Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama, Peter Msigwa na Ester Matiko, wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma za kuendesha maandamano kinyume na taratibu.

Maandamano yanayodaiwa kuendeshwa na viongozi hao ni yale yaliyofanyika Februari 16, mwaka huu na kusababisha polisi kuwatawanya waandamanaji na kupelekea kifo cha mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT), Akwilina Akwilini

No comments:

Post a Comment