Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Rais Magufuli ametoa pole kufuatia vifo vya watu 26 vilivyotokea Wilayani Mkuranga, Pwani baada ya Hiace kugongana na Lori. Amevitaka vyombo vinavyoshughulikia usalama barabarani kuchunguza chanzo cha ajali hiyo na kuchukua hatua stahiki.
“Nimesikitishwa sana na taarifa ya vifo vya watu 26 waliopoteza maisha katika ajali ya barabarani iliyotokea huko Mkuranga Mkoani Pwani, tumepoteza idadi kubwa ya Watanzania wenzetu na nguvu kazi ya Taifa.” -install kalambonews Kwa kila habari za kila siku Tanzania na nje ya tanzania
prop
Sunday, 25 March 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment