TUMUSIFU BWANA

prop

Wednesday 28 March 2018

Kauli ya UDSM kuhusu nondo Leo hii

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Kauli ya chuo kikuu UDSM kuhusu nondo
Chuo Kikuu cha Dar es salaam kimesema kuwa kimemsimamisha chuo Abdul Nondo kufuatana na kanuni za chuo za wanafunzi ambazo zinasema kuwa kama mwanafunzi atafikishwa mahakamani kwa tuhuma zozote inabidi asimamishwe masomo mpaka hapo kesi yake itakapomalizika na atakapopatikana hana hatia atarudishwa masomoni

No comments:

Post a Comment