TUMUSIFU BWANA

prop

Sunday, 25 March 2018

Alicho kisema Ettiene kuhusu mavugo Leo jumapili 25 radio free

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Kocha wa mbao fc Ndayiragijie ettiene leo mchana kwenye kipindi cha michezo radio free akiwa kwenye maojiano na matangazaji wa radio free mwanza amejibu haya baada ya kuulizwa kiwango cha aliye kua nyota wake kwenye kikosi cha vital'o ya Burundi ." siwezi kuzungumuzia chochote kuhusu kiwango cha mavugo kwani sasa yupo chini ya mfaransa wa timu ya simba".
 mbali na ayo mazungumzo pia ameelezea historiya kuhusu kuichezea klabu yanga ambapo alicheza mechi moja ya kilafiki na klabu ya Malawi akiwakwenye majalibio yanga nakuonesha kiwango kikubwa na atimaye kuishawishi klabu iyo ya Malawi kumsainisha mkataba kama mchezaji lasimi wa klabu iyo .Kwa story,habari ,michezo na magazeti ya kila siku install kalambonews Leo hii.

No comments:

Post a Comment