Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Nyota 6 Yanga Wanaotajwa Kuitosa safari ya Algeria
Yanga jana imepaa kwenda kuelekea Algeria lakini maswali yameibuka kuwa mengi juu ya Kikosi cha Yanga ambacho Kimepaa kuelekea Algeria.
Kikosi cha Yanga msomaji wa Kwataunit.com kimepaa huku wachezaji wake Wakongwe na Muhimu kwenye Timu kukosekana katika Kikosi hiko.
Taarifa zinadai kuwa baadhi ya wachezaji (Wakongwe) Wamegoma kwenda safari hiyo kutokana na Kudai madai yao licha ya Kuwa jana kabla ya safari uongozi ulikanusha taarifa ya wachezaji Kugoma.
Wachezaji Sita ambao hawajaenda na wenzao katika safari ya Algeria ni.
Papy Tshishimbi, Thaban Kamusoko, Nadir Haroub Cannavaro, Kelvin Yondani,Obrey Chirwa na Ibrahim Ajibu
prop
Friday, 4 May 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment