TUMUSIFU BWANA

prop

Saturday 5 May 2018

MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA LIGI KUU VPL JUMAMOSI YA 5.2018

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Matokeo Prisons vs Lipuli VPL 5 May 2018

Tanzanias Prisons imefanikiwa kubakiza Points zote tatu muhimu Nyumbani mara baada ya kuwatandika Lipuli Fc Kwa bao 1 kwa 0.

Tanzania Prisons ambao katika mzunguko wa Kwanza waliifunga Pia Lipuli bao 1 kwa 0 Iringa kwa leo bao lao limepatikana kupitia kwa Mpalile dakika ya 9.


Matokeo Singida United vs Njombe Mji 5 May 2018

Ligi Kuu Tanzania Bara iliendelea leo Jumamosi May 5 2018 huku katika uwanja wa Namfua mkoani Singida wenyeji Singida United wakizidi Kuizamisha Njombe mara baada ya Kuwafunga Bao 4 kwa 0.

Mabao ya Singida United yalifungwa na Papy Kambale, Miraji Adam, Mundia na Nizar Khalfan

No comments:

Post a Comment