Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Taarifa Muhimu kutoka Yanga jioni Hii kuelekea mchezo wa Kimataifa Ethiopia
Mabingwa wa Soka Nchini Klabu ya Yanga wataondoka siku ya Jumapili majira ya Asubuhi kuwafata Timu ya Welayta Dicha ya Nchini Ethiopia kwaajili ya Mchezo wa Marudiano.
Mchezo huo utachezwa siku Ya Jumatano April 18 2018 katika Mji wa Awassa ambao ni mji wa pili kwa Ukubwa nchini Ethiopia baada ya Addis Ababa.
Yanga msomaji wa Kwataunit atapita Endapo atatoka sare yoyote,Ushindi wowote au Kutoruhusu Kufungwa zaidi ya goli 2 kwa 0.
prop
Friday, 13 April 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment