Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
TANGAZO
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
KUONGEZWA MUDA WA KUJISAJILI KWA WATAHINIWA WA
KUJITEGEMEA CSEE NA QT 2018
KATIBU MTENDAJI BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA ANAPENDA
KUWATANGAZIA WATU WOTE WANAOKUSUDIA KUFANYA MTIHANI WA
KIDATO CHA NNE NA MAARIFA (CSEE & QT) 2018 KAMA WATAHINIWA WA
KUJITEGEMEA KWAMBA, MWISHO WA KIPINDI CHA USAJILI WA MALIPO YA
ADA PAMOJA NA FAINI (Tsh 65,000 KWA CSEE NA Tsh 40,000 KWA QT),
UMEONGEZWA KUTOKA TAREHE 31/03/2018 HADI TAREHE 30/04/2018.
MALIPO YOTE YAFANYIKE KUPITIA POSTA TU.
HIVYO, WAOMBAJI WOTE WAHAKIKISHE WANAJISAJILI MAPEMA KWA NJIA
YA MTANDAO KUPITIA TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI: www.necta.go.tz.
IMETOLEWA NA:
KATIBU MTENDAJI
prop
Thursday, 19 April 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment