Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Post ya Haji Manara baada ya Yanga Kutinga Makundi Kimataifa
Msimamo wa ligi ya laliga baada ya madrid bofya kutazama >>>
Mara baada ya Yanga kupata NAFASI ya Kufuzu hatua ya makundi kombe la Shirikisho barani Afrika kwa KUWATOA Welayta Dicha ya Ethiopia kwa matokeo ya jumla ya Bao 2 kwa 1
Afisa Habari wa Timu ya Simba msomaji wa kwataunit.com Haji Manara ameandika Ujumbe Huu hapo Chini Kupitia Ukurasa wake wa instagram.
“Hongera watani zetu Gongowazi kwa kufuzu na kujipatia milioni 600..nadhan sasa mtapunguza madeni hususan lile kuu la bilioni tisa toka kwa Yussuf..na ule mkopo wa tiketi za kwenda huko..bila kusahau hata chembe ile mishahara ya kina Lwandamina na player’s..chenji kama itabaki msisahau kina Tegete nao, tukutane VPL 😁😁 @Yangasc@tegete_jerson #yusufmanji”
prop
Wednesday, 18 April 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment