TUMUSIFU BWANA

prop

Friday, 20 April 2018

LECHANTRE AFUNGUKA KUHUSU CHIRWA LEO

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Lechantre ataja anayemhofia zaidi Yanga kuelekea mechi dhidi yao
1.Soma tetesi za usajili balani ulaya na Tanzania vpl bofya hapa>>>
Kuelekea pambano la watani wa Jadi April 29 2018 kati ya Simba na Yanga mechi ya mzunguko wa Pili ligi kuu soka ya Tanzania Bora hatimaye kocha Mkuu wa Simba Pierre Lechantre amefunguka Juu ya Kikosi cha Yanga.

Lechantre  ambaye  ni Raia wa Ufaransa amelitaja Jina la Straika wa Yanga Obrey Chirwa kama mchezaji anayemhofia zaidi kwa upande wa Yanga kuelekea pambano lao.

” Kikosi cha Yanga nimekiangalia  vizuri lakini mchezaji anayevaa jezi namba 7 (Chirwa) ndiye anayenitia mashaka kama sitakuwa makini anaweza kutuletea madhara makubwa kwenye timu yetu “
1_kikosi cha kwanza cha man united vs spurs 21.2018

No comments:

Post a Comment