Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Baada ya Kumpa Sudan 6 kwa 0 Serengeti Boys leo Mzigoni
Mara baada ya Timu ya Taifa ya Tanzania Ya vijana chini ya miaka 17 Serengeti Boys kuifunga Sudan bao 6 kwa 0 na kutinga nusu Fainali leo wapo tena Mzigoni.
Serengeti Boys leo itashuka Dimbani huko nchini Burundi kucheza mchezo wa nusu fainali dhidi ya Kenya katika uwanja wa Muyinga mechi itaanza saa kumi kamili, Kwataunit.com Tutakupa matokeo ya Moja kwa Moja.
prop
Tuesday, 24 April 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment