TUMUSIFU BWANA

prop

Friday, 27 April 2018

Ali mayay ;simba wapo vizuri kuelekea simba sc vs Yanga sc

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Maoni ya Ali Mayay kuelekea mchezo wa Yanga na Simba.. kaamua kuwa muwazi

Mchezaji wa zamani wa Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania Ally Mayay Tembele ambaye pia amekuwa Moja kati ya wachambuzi mahiri wa Soka amefunguka yake kuelekea mchezo wa Jumapili April 29 kati ya Simba na Yanga.

Licha ya kuwa Ally Mayay alicheza Yanga lakini amekiri kwa kusema ukiangalia kwa uwiano wa mchezaji mmoja mmoja na uwezo wa Kitimu Simba wako vizuri zaidi ya Yanga.

” Huwezi kuondoa ukweli ukitizama uwiano wa mchezaji mmoja kwa mmoja na uwezo wa timu Simba wamekuwa vizuri kuliko Yanga uwezo wa Kufunga magoli na hata ile kucheza mechi zote bila Kufungwa “

No comments:

Post a Comment