TUMUSIFU BWANA

prop

Friday, 23 March 2018

TETESI ZA USAJLI BALANI ULAYA IJUMAA 23.03.2018

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Mshambuliaji Mfaransa anayechezea Atletico Madrid Antoine Griezmann anataka kujua hatima yake katika klabu hiyo kabla ya kusafiri kwenda kucheza Kombe la Ufaransa. Mchezaji huyo wa miaka 27 amehusishwa na kuhamia Barcelona. (L'Equipe kupitia Sky Sports)
Tottenham nao wanakusudia kutumia kifungu cha £3m kumfungua Jonny Evans kutoka kwa mkataba wake West Brom iwapo timu hiyo itashushwa daraja. Mchezaji huyo wa miaka 30 kutoka Ireland Kaskazini huenda pia akatafutwa na Arsenal. (Telegraph) toa ushauri wako pia pakua app ya kalambonews Leo hii kwenye simu yako kwa tetesi za usajili barani uraya na afrika

No comments:

Post a Comment