TUMUSIFU BWANA

prop

Sunday, 25 March 2018

MWENYEKITI WA UVCCM ATENGUA UTEUZI WA JOKATE MWEGELO

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Aliyekuwa Kaimu Katibu wa Hamasa na Chipukizi UVCCM Taifa, Jokate Mwegelo.
Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa CCM iliyokutana kwa dharura leo mchana chini ya Mwenyekiti UVCCM, Kheri James imetengua uteuzi wa Kaimu Katibu wa Hamasa na Chipukizi-UVCCM Taifa, Jokate Mwegelo kuanzia leo Machi 25, 2018

Jokate atabaki kuwa mwanachama wa kawaida na nafasi yake itajazwa baadae. Hakuna sababu iliyotolewa juu ya kutengua uteuzi huo.
GLOBAL HAB

No comments:

Post a Comment