TUMUSIFU BWANA

prop

Sunday, 25 March 2018

tetesi za usaji balani ulaya march 25

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Kiungo wa Fulham Ryan Sessegnon hataihama timu hiyo iwapo itafuzu kushiriki michuano ya ligi kuu msimu ujao.(Sun)
Mshambuliaji wa West Ham Manuel Lanzini, amekanusha kuihama klabu hiyo na kusema anafurahia maisha katika jiji la London. (West Ham website)
Manchester United imetenga kitita cha Pauni milioni 40 kumshajili kiungo wa Bayern Munich na Brazil Douglas Costa, aliye kwa mkopo Juventus. (Mirro.pakua kalambonews Leo Kwa habari za kila siku .kalambonews is now for you "

1 comment: